Advertisements

Saturday, October 4, 2014

DICOTA 2014 DURHAM CONVENTION


Kofi Anani ambaye ni senior operations Officer, Africa Diaspora Investment fund, World Bank akiotoa mada kuhusiana na maswala hayo kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Jumamosi Oct 4, 2014 ambao ndio ulikua mkutano wa mwisho na baada ya jioni kulikua na nyama choma.
Balozi wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Liberata Mulamula akielezea kazi za Ubalozi wa Tanzania kwa Watanzani waishio nje ya nchi na nini wanatakiwa kufanya na baadae kumkabidhi Afisa Uhamiaji Bw. Abbas Missana na kuelezea kwa undani zaidi.
 Afisa Uhamiaji wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Abbas Missana akiezea kwa undani kazi za Ubalozi huo hasa katika maswala ya Uhamiaji.
Balozi wa African Union Mhe. Amina Salum Ali nae alipata wasaa wa kuongea juu ya umoja huo unavyoshiriki kimamilifu na Diaspora kwa ajili ya maendeleo ya Afrika.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: