Msanja Mkandamizaji akiwachekesha wadau waliohudhuria DICOTA 2014 kwenye ukumbi wa Club house uliopo Durham North Carolina siku ya Jumapili Oct 5, 2014 siku ilikubeba jina la kwaheri ya kuonana iliwapa wageni supu na cha chakula cha mchana na kuwatakia wageni safari njema na kuwakaribisha tena kwenye mkutano wa DICOTA ujao.
Wadau mbalimbali wakivunja mbavu kutoka kwa masanja mkandamizaji aliyekua akiwachekesha wadau waliokua kwenye club house.
Wadau mbalimbali wakivunja mbavu zao.
Wadau wakishindwa kujizuia na vunja mbavu toka kwa Masanja mkandamizaji.
Mkuu wa kitengo cha Diaspora kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Susan Mzee akimsikiliza Masanja Mkandamizaji kwa karibu zaidi.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment