Thursday, October 30, 2014

FLASHBACK

Wadau nashukuru sana kwa kumbukumbu nzuri ya hii timu ya mpira wa kikapu ya IMAC katika picha walioketi Shubwa Matumba,Sila Mwinuka, Ally Mambo,Masoud na Bro Dick Makafu.Wlioketi juu ni Vivian Msafiri,Dorcas, Amani Mgonja,Silla ,Dossi Magambo,Mohamed Othman (Msomali), Ummy Mwaibula na James Maro. waliosimama ni Marehemu Bro Dickens Urassa, Dj Sweet Coffie Banana,uknown,Mtango Miyombo,uknown, Mpwa Dj Luke Joe,Avit na Marehemu Bro wetu Jerome Manyau.

6 comments:

  1. Kati ya hao, aliyekaa chini wa mwisho kulia aliitwa Wlliam Sanga. Nilisoma nae Lugalo Sec. School 1983. Shule yetu ipo near Kleruu.
    William alicheza sana socer la shule enzi hizo wakati huo Duncan Butinin wa zilizo kuwa lipuli ya Iringa na Reli ya Morogoro alikuwa form one yaani njuka.Pia aliye kaa chini wa tatu toka kushoto jina nimesahau lakini nilisoma nae. Alicheza sana table tenis na mwenzake sasa ni marehemu aliitwa Victor Tagalile.

    Kwa ufupi ndivyo hivyo. Wengine siwakumbuki sababu mimi sikuwa mwanaspoti.

    ReplyDelete
  2. Bro Dick , Vivian ,Dossy Magambo , James Maro , Dick Makafu ,Ummy Mwaibula , mohamed Msomali , Chesnod , Amani Mgonja ,D J Luke ! Dah wengine majina yamenitoka

    ReplyDelete
  3. Wengine watakuwa wamekufa .

    ReplyDelete
  4. Imac " basketball Imac" imac ilikua ruaha chini ya viwanda vya sido. Hii timu iliendeshwa na jamaa mmoja ndugu yao kina Doss, Matango, Kyombe, James Maro....Naona james na Dos lakini wengine nimeshasahau ilailikua moja ya timu bora. Luke weka Majina najua unawajua wote. kumbukumbu nzuri sana

    ReplyDelete
  5. Mdau wa pili kuchangia umepatia vizuri. Amani Mgonja, Dick Makafu ni mdogo wa Siston Makafu na William Sanga hawa jamaa walicheza vizuri sana. Thanks Dj Luke kwa kutujuza na kutukumbusha life ya kale.

    ReplyDelete
  6. Thanks kwa kumbukumbu nzuri ya timu yangu. Nimefurahi kuwaona wadau niliocheza nao kikapu enzi hizooo.
    Pia tupeane pole kwa kaka zetu waliotutoka na kutangulia mbele ya haki - Dickens Urassa na Jerome manyau (R.I.P)
    Thanks Luke.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake