Thursday, October 30, 2014

Wakazi - ONE DAY YES


1 comment:

  1. Ungekomaa huku USA tu, Bongo umejipoteza. Flow yako kwa kiswahili haina ladha hata kidogo, na vile Bongo haisupport hiphop umekwisha.
    Hapo Bongo kuna watu hatari kama Fid Q, Young Killer, Mwana Fa, Prof J lakini hawafagiliwi kiivyo wao kila siku ngoma za wakata viuno tu Diamond, Ali Kiba basi.
    Ushauri wa bure, rudi huku tafuta connection unaweza kutoka kwa sababu flow yako kwa kiingereza ina ladha kuliko kiswahili.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake