ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 16, 2014

JK AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA


  Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano
 MNEC wa Sengerema William Ngeleja akizungumza na Dk.Mary Mwanjelwa pamoja na Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Mwangi Rajab Kundya nje ya ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha NEC.
 MNEC wa Lindi Vijijini Said Mtanda akibadilishana mawazo na Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Shaibu Akwilombe nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.
 MNEC wa Temeke Ndugu Abbass Mtemvu akizungumza na wajumbe wengine wa halmashauri kuu nje ya jengo la Mkutano mjini Dodoma.


No comments: