Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua juu Katiba inayopendekezwa katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akifuatiwa na Makamu wake Mhe samia Suluhu Hassan
10 comments:
Tumeshukuru wabunge wengi wamepitisha uraia pacha kwa masharti maalumu abayo yatatungiwa sheria zake. Tunamini kwamba, hizo sheria hazitakuwa za ubaguzi na zitazingiatia usalama wa nchi pamoja na maendeleo ya kiuchumi.
****SURA YA SITA****
URAIA KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO-
68. Uraia wa Jamhuri ya Muungano
69. Haki ya uraia
70. Uraia wa kuzaliwa
71. Uraia wa kuandikishwa
72. Hadhi maalum ya watu wenye asili au nasaba ya Tanzania
umesoma hii sura ya sita vizuri au ndo unatuweka vipengele tuu. weee unadhani watu wajinga .magamba waheed weeee.
kura za wananchi zimechakachuliwa what a shame hii katika ya ccm si ya Tanzania huru.
ziba baba hii comment najua itakugusa sana .na blog hii tunajua ndo yako yenye mlengo wa ki ccm
ha ha ha nimeona comment yangu umechakachua halafu hapo juu ukijifanya kama mtu kaleta comment hiyo na ukasahihisa niliyoandika kwenye comment yangu ha ha ha. poa haina noma mkuu. mradi ukizitupa comment zinazo kuchoma choma moyoni but zinakuelimisha weka maandishi hayo ya kukuelimisha.
isome vizuri hiyo sura ya sita halafu uje utoe comment zako hapa
changanya akili zakusoma na zako halafu tafakari vizuri
mmewaona madalali wa Zanzibar
Wapemba Wanamsemo Wao… ” Ntu havumi akawa Nzima, Uvumayo hupasuka japokua Ngoma”—
kwanini amafukuzwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar na sasa mnamuandama maalim seif ajiuzulu kwa nini kama kweli hii katika ni ya haki na si ya ccm.
It's wise not to bite the hand that feeds you, but you man have gone as far as licking the a--s--s that is part of the hand!! Pathetic!
Hehehehe (hicho kicheko cha hela/pesa/fedha fedheha, try it, hehehehe.)
mdau wa mwanzo hizi ni dalili ya kukosa hoja na kuandika viroja.
Post a Comment