ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 5, 2014

JK ASHIRIKI SALA YA EID EL HAJJ UPANGA DAR ES SALAAM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

No comments: