ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 5, 2014

SALAM ZA EID MUBARAK

 Humoud Seif na Zuwena Idd wa Maryland USA, wanawasalimia mama zao wazazi Maryam na Safia Humoud, wakiwa Zanzibar, Raya, Rauhia, Jokha, Naila na watoto wao wote wakiwa huko dar es salaam, Tanzania, tunakutakieni sikukuu njema

Mwenyekiti wa Jumuya ya Waislam watanzania (TAMCO) Washington DC, pamoja na familia yake 
 wanawatakia watanzania wote Eid njema, furaha na amani
Bwana Deddy Ruba na sheikh Yussuf Makka wakiwa na wingi wa furana na familia zao, wanawatakia watu wote Eid njema






No comments: