
Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV vinavoangaliwa na watu wengi duniani kote.So,jana tar.30/9 nilimsikiliza Diamond akiamua kuwa jasiri na kupima uwezo wake wa kukimudu kimombo pale alipofanya interview ya kimombo na Mrembo Sporah Njau wa The Sporah Show kinachorushwa Clouds TV kutokea London.
Na wakati huu namsikiliza Eric Shigongo akifanya interview na presenter mahiri wa kipindi cha Straight Talk Africa,Prof Chaka Ssali wa The Voice of Africa.Nawapongeza kabisaaaaaa but man,we can still pick a hole or two in the interviews: (1).The guys are trying too hard to impress and to sound relevant,nafikiri wakati mwingine wasipanie au wasiwe na fikra kuwa ndugu zao tunaowaangalia huku tuwakome,i mean wafanye interview wakiwa totally focused on the issues raised in the interviews na wasitake tunaowasikiliza "tuwakome" (2).Sporah alizungumza Queen's English wakati Diamond alitaka watazamaji tuamini kuwa yeye ni Kanye West au 50 Cent.
Hivyo hivyo Eric Shigongo wants us to believe kuwa yeye ni wa mitaa ya Brooklyn New York wakati yeye ni Msukuma through and through....ninachosema,they need not fake their accent,mbona Chaka Ssali ni profesa na anazeekea Marekani lakini hathubutu kusema accent ya kimarekani?
Yeye bado anapiga kiingereza chake cha Kabale Uganda and he's doing good!Nasema hivi,wanastahili pongezi lakini wazungumze kiingereza cha kawaida tu wasitake kutafuna maneno kama kina Obama,kufanya hivyo kunawaboa viewers because for one,they are not fluent,sasa kama hauko fluent utatakaje kujiongelesha accent ya kimarekani,people!Wanigeria na Wakenya mbona wanaongea tu kivyao vyao and we have come to like Nigerian English'oooo,haven't we?
Hongera Diamond,hongera Shigongo,mna afadhali kuliko Mh.Membe,siku moja nilimsikiliza kwenye kipindi kilekile cha Straight Talk Africa niliboreka sana,sikuona tofauti yake na Mulugo:
Credit:Thechoice
4 comments:
Ni kweri kabisa wana tubowa sana.me here here my friends there there do me do me.so what you don't have to say twice same word tunachekwa sana watanzania na chakuunganisha alafu unataka ubuluze kama wewe mzawa mavi yako wewe kurumaninga nenda shule A, B, C, D, Z duu wewe wewe E hiko wapi hahahaaaa kingeleza lugha kongana mpaka ulewe.
Tanzania sio nchi inayo ongea kiingereza ndio maana tunakuwa na accent tofauti tunapozungumza kiingereza.Wenzetu accent zinafanana kwa sababu ndio lugha zao.kila Mtz anazungumza English koi yake tusilaumiane.
hapo mdau umenenaaaa
I give credit to both Shigongo and Diamond. Very inspirational given their backgrounds.
Post a Comment