Advertisements

Sunday, October 19, 2014

KAMATI KUU TAWI LA CCM CALIFORNIA LAFANYA KIKAO CHA MWISHO WA MWAKA.

Viongozi wa juu wa Tawi CCM California wakiwa pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu walipokutana 18 Oktoba 2014 katika kujadili na kufanya taathimini ya mambo walioyafanya mwaka 2014 na kujiandaa vizuri kwa mikakati ya 2015.