Baadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto) wakati wa semina ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajili ya usalama wa ndege ikiwa kwenye anga husika.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto)wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mradi wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia )wakati alipokuwa akitoa mada juu ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajilia ya usalama wa Anga wakati semina iliyowahusisha wahandisi wa mamlaka ya usafiri wa Anga Barani Afrika iliyofanyika jana ktika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ikiwa imeandaliwa na COMSOFT ya Ujeremani.Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid na Mkurugenzi wa Mradi wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia ) wakimsikiliza kwa makini mtaalamu wa kuongoza ndege kutoka Uganda (UGATCA) Magret Kagendo wakati alipokuwa akiuliza swali wakati wa semina iliyowashirikisha wahandisi na wataalamu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga barani Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment