ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 21, 2014

LUDENGA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SAKATA LA UMRI MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa habari muda huu juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto)

Alipotangazwa mshindi, Miss Tanzania 2014, Sitti, ambaye ni binti wa mbunge wa jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam, alivikwa taji na mtangulizi wake Happyness Watimanywa, Miss Tanzania 2013.

Kufikia taji hilo la Miss Tanzania,2014 Bi Sitti ni mshindi wa mara ya ishirini tangu mashindano hayo yaanze tena nchini humo mwaka 1994. Kabla ya taji hilo, Bi Sitti alishinda mataji mawili likiwemo la Miss Chang'ombe na Miss Temeke yote ya mwaka 2014. Picha kwa hisani ya Michuzi


3 comments:

Anonymous said...

He need to step down and so as she(sitti) why her passport and her birth certificate dates are different? Not to mention her Drivers Licence? Shame shame shame.

Anonymous said...

KILA KITU TANZANIA NI UFISADI MTUPU. HUYU DADA PASSPORT YAKE NA DRIVER LICENCE YAKE YA TEXAS INAONYESHA AMEZALIWA MWAKA 1989 SASA LEO MNABADILI TU KWA SABABU ARUHUSIWE KUINGIA KWENYE MISS TANZANIA. HIYO MISS TANZANIA INA MATATIZO SANA KWA SABABU IMEHUSISHA WABABAISHAJI KAMA HUYO LUNDENGA, KWANZA YEYE SIYO SAFI, AMEHUSISHWA NA RUSHWA NYINGI KUTOKA KWA MABINTI WANAOSHIRIKI. KAMA KWELI LUNDENGA NI MTU WA HAKI IWEJE AMUOE MISS TANGA AMBAYE KIUMRI NI KAMA MWANAWE? KWENYE HIYO PRESS CONFERENCE AMBAYO IMEJAA UONGO HUYO SITTI ANGEONYESHA HIYO PASSPORT YAKE NA DRIVER LICENCE YAKE HALAFU ATUELEZE KWANINI IMEKUWA TOFAUTI NA CHETI? SIJUI KWA NINI WATANZANIA DHAMIRA ZIMEKUFA NA UONGO UMETAMALAKI, HIVI UNAVYODANGANYA NAMNA HIYO NA PENGINE KAMKANA HUYO MWANAWE ANAJISIKIAJE? INABIDI TUTOE TAARIFA KUHUSU UFEKI NA UDANGANYIFU ALIOUFANYA KWA SERIKALI YA MAREKANI ILI AKITAKA KUJA ASIRUHUSIWE KUINGIA KWA SABABU HUYO MWENYE PASSPORT SIYO YEYE.

Anonymous said...

WATANZANIA TUNACHOTAKA NI HAKI TU. SINA CHUKI NA HUYO MISS TANZANIA ILA NACHUKIZWA NA JINSI UONGO WA WAZI NA UFISADI UNAVYOSHIKA KASI NCHINI KWETU. HUYO NI MTOTO WA MBUNGE MTEMVU AMBAYE ANAONEKANA ANADANGANYA WAZIWAZI, JE UADILIFU UPO WAPI? ETI SIJAJIANDAA KUJIBU SWALI? SASA UKIULIZWA HUKO MISS WORLD UNAKOKWENDA BAADA YA KUDANGANYA UTASEMA HUJAJIANDAA? ULIKUJA VIPI MAREKANI NA JINA LAKO LAKINI MWAKA WA KUZALIWA FEKI? TUTAULIZA HUKO ICE NA DMV MAANA RECORDS ZAKO ZIPO, KWA ULICHOFANYA UNAWEZA UKAZUIWA KUINGIA USA......HUWEZI KUTUFANYA WATANZANIA MBUMBUMBU WEWE NA HUYO LUNDENGA WAKO. MAMA MWENYEWE AIBU HANA ANAINGILIA KUMUOKOA MWANAWE WAKATI AKIJUA ANASEMA UONGO. UKIWAANGALIA USONI UTAONA WANACHOONGEA HAWAKIFAHAMU. AIBU AIBU AIBU...AIBU.