ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 11, 2014

Mahojiano na Kanda Bongoman

Kanda Bongoman ni moja ya majina ya wasanii waliovuma sana hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na kati miaka ya Tisini. Nimezungumza na msanii huyu muasisi wa mtindo wa Kwasa Kwasa.

1 comment:

Anonymous said...

Mziki bwana enzi yake moi alimpiga marufuku kenya hahaha lakini alivuma si kawaida nimefurahi kuona hii clip ndogo kawa mtu mzima ila bado wamo. Na mie nilihusudu sana nyimbo zake enzi hizo, kina ali kiba, diamond heri mpige nae mziki kanda bongoman kusudi mpate mashabiki wazee pia ndimi shabiki wa kanda bongoman