ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 16, 2014

Malalamiko Ubalozi wa TZ Italy

4 comments:

Anonymous said...

Kama kweli Balozi hakumtuma afisa wa pasi kwenda uturuki, ugirki na Rome ,basi kweli kutakuwa na kuwadhalilisha raia wetu wa Tanzania.Na kama kweli yaliyoandikwa yana ushahidi basi inabidi kadhia hii iwafikie wahusika wakuu wa nchi ili waishughulikie na hata ikiwezekana kumwajibisha mhusika

Anonymous said...

Ili kilio Chenu kiweze kusikika, tumeni barua yenu kwenye magazeti makubwa.

Anonymous said...

Mara nyingi Mhesimiwa Rais ndio anakuwa Jemedari mkuu wa nchi au kwa maneno mengine ni myampala mkuu na mdhamana mkuu wa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii hata uchaguzi anaoufanya kupata viongozi watakaomsaidia majukumu yake, sisi wananchi kwa asilimia kubwa huwa tunaamini kuwa watatekeleza majukumu yao ipasavyo.
Sasa huyu ndugu yetu Balozi wa Tanzania nchini Italy inaonekana anapoteza dhamira na malengo ya kiongozi wetu mkuu Rais ya kumchangua kuwa Balozi au kuwa mwakilishi wa Tanzania katika kanda hii ya nchi hizi tatu yaani Uturuki,Italy na Ugiriki,kwa kupitia Media tunafahamu kuwa Mheshimiwa Rais lazima habari atakuwa anazipata basi tafadhali tunakuomba chukuwa hatua zinazostaili ili wanachi wako wapate huduma hitajika katika Ubalozi wetu nchini Italy..Bwana mkubwa aliyopo probably amepotea mwelekeo naandika hivyo kwa kauli dhabiti kwani haiwezekani kiongozi wa serikali iliyochaguliwa kwa kura za wananchi utoe ahadi zisizo tekelezeka..kiongozi wa serikali apaswi kuleta utani katika haki na maslahi ya wananchi.

Mungu Ibariki Tanzani
Mungu Ibariki Africa.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Africa