MBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(mwenye suti ya Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na harambee ya ujenzi wa Bweni.
Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia .
Makamu mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari Pakula,Paroko Julius Furaha akizungumza wakati wa mahafali hayo.
Mkuu wa shule ya sekondari Pakula Lolenzo John akimkabidhi Mh,Mbatia zawadi ya Mbuzi dume wakati wa mahali ya wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo.
No comments:
Post a Comment