ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 13, 2014

Mkasi na Rebeca Gyumi

5 comments:

Anonymous said...

kuna mtu ana number ya salaam?naombeni wajameni.mimi nampendaga sana huyu mamitooz.

Anonymous said...

mkuu anaye mtengeneza makucha rebeca najiuliza anajisikiaje,because rebeca ni mzuri hivyo jamani na jamaa anasugua sugua mikono yani nahisi lazima atakuwa anapata changamoto...........mmh...kazi kama hizi ukimtengenezaga mrembo mmmh............kwakweli mimi siweziiii........

Anonymous said...

what do you mean mimba za utotoni? mtoto kweli anashika mimba?si lazima atakuwa amashapevuka .kuweni makini wakati mnaposema mimba za utotoni.

Anonymous said...

rebeca she is so cute and very smart;najiuliza je ana m date mtu?
kumpata mwanamke kama huyu si rahisi siku hizi.

Anonymous said...

5500 wasichana wana tiwa mimba my goodness,taifa lingakwenda wapi.mwanamkee ni dira ya jamii.

wahusikia mnafanyaje kuhusu hili tatizo.