ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 1, 2014

MKUTANO WA KIMATAIFA WA TEKINOLOJIA YA MAWASILIANO WAANZA JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano wakifatilia kwa makini mkutano huo ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.

No comments: