Rapa wa siku nyingi nchini Marekani aliyejipatia umaarufu kwenye nyimbo za lose control na get ur freak on amepunguza kuonekana kwenye kadamnasi kwa nadra sana.
Siku ya Alhamisi alitokea kwenye onesho la Alexander Wang’s H&M Collection akiwa na muonekano mpya kama anavyoonekana kwenye picha.

No comments:
Post a Comment