Advertisements

Friday, October 24, 2014

NESI WA EBOLA APONA AKUTANA NA KUMPA HAGI RAIS OBAMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI

Mmoja wa manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nina Pham leo Ijumaa Oct 24, 2014 ameruhusiwa kutoka hospitali NIH alipokua amelazwa baada ya kupona virusi vya Ebola. Nesi Nina baadae yeye na familia yake walipitia Ikulu kukutana na Rais Barack Obama kabla ya kuondoka na kuelekea Texas kwenda kuungana na ndugu, jamaa na marafiki.

5 comments:

Anonymous said...

amazing mmmh na mliberia mweusi mwenzetu ameondoka na maji hakuna hata aliyemsikitikia.

Anonymous said...

Icknow right anonymous wa kwanza. Ubaguzi mtupu. Wazungu wasitudanganye kabisa

Anonymous said...

Tatizo letu tunapenda uongo halafu mabaya yakitukuta tunatarajia usamehewe..:( wenzetu hawana unafiki !! Marehemu alidanganya na nchi yake Liberia ilitangaza nia ya kumshtaki sasa mdau unataka Obama aomboleze kifo chake? Hufahamu siasa za Marekani:(

Anonymous said...

Watu wote wanatakiwa kuwa wazi juu ya jambo hili na kuacha tabia ya kupeana mikono na kukumbatiana. Usafi kwa kutumia sabuni na disinfectants, kuangamiza makati na mazalia ya popo hasa miti karibu na makazi waishiyo .

Anonymous said...

Wa tanzania hitabidi tusiwe kama black American kitu kidogo tumesha leta ubaguzi wewe jiulize ungekua muhudumu wa hospital halafu mtu anakwambia katoka Liberia na geografia hapa marekani hawa fundishi ya Dunia siutafikili jamaa katokea mtaa wa Liberia na kingine jamaa halikua so infected ilikua vigumu kupona thank God halipata huduna ingekua kwao wanafia kwenye nyumba peke Yao hacheni hizo