Huu umekuwa mwaka tofauti kwenye kundi la B.O.B Micharazo baada ya kutoa kazi nyingi na video zenye ubora zaidi. Hii Video yao Mpya Ya B.O.B & Micharazo - True Story. Yupo Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Title na msanii wao kutoka Marekani Mr.Tz aka SanTz.
Mr.Tz aka SanTz akiwa na producer wa Classic Sounds Studio, Mona Gangsta na msanii mwenzake Nyandu Tozzy
Mr.Tz aka SanTz kazini
Mr.Tz na Nyandu Tozzy
kundi la B.O.B Micharazo
No comments:
Post a Comment