Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho
Bondia Hassan Rajabu kushoto akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo
Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Bariki alishinda kwa point mpambano huo uliokuwa wa raundi nane

Bondia Shomari Mirundi
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimpaka mafuta bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimfunga glove bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake