ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 10, 2014

WARSHA YA MRADI WA ZIWA TANGANYIKA ILIYOFANYIKA BAGAMOYO


Mkurugenzi wa Mazingira katika Mradi wa Ziwa Tanganyika akiongea katika Warsha inayohusu mradi huo iliyofanyika mjini Bagamoyo.


Mgeni Rasmi ambaye ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi akiongea na wadau waliohudhuria warsha hiyo.


Sehemu ya Washiriki wa Warsha hiyo wakimsikiliza mgeni Rasmi


Picha ya pamoja ya Washiriki wa warsha ya siku moja ya uelewa wa Jamii juu ya mradi wa Ziwa Tanganyika iliyofanyika mjini Bagamoyo.

2 comments:

Anonymous said...

Aibu! Mkutano wa maana lakini bango lina kiingereza kibovu.

Anonymous said...

authority na sio autority