ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 13, 2014

PICHA YA LEO

Chezea malavidavi wewe

4 comments:

Anonymous said...

MKIDONDIKA MSEMA MNAMIKOSI AU MMEROGWA, SIKU ADHIMU MUPIGE PICHA JUU YA MITI NA MAVIATU JUU, JAMANI MMEKOSA SEHEMU NYENGINE YA KUPIGA PICHA?

Anonymous said...

Yaani wee mdau hapo juu umesema kabisa, wanakawia basi kusema tumelogwa, wala hatujui ilikuwaje tukapamba mti..Lol.

Anonymous said...

jamani mambo ya adventure hayo...

Anonymous said...

mimi nataka nikiowa nipige picha kama hii nimeipenda sana style yao,big up man.

kila mtu ana style yake,i love it .

wanandoa hawa wataisi kwa furaha na upendo wa hali ya juu kwa sababu hawa copy watu wanavyofangaga wao wameamua kufanyaga vya kwao, kivyao vyao.

I love it.