Advertisements

Thursday, October 2, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA MNN STUDIO NEW YORK CITY


NY EBRA akiwa ndani ya Studio za (MNN) New York City akichukuwa Course ya TV Producer ni moja ya mikakati ya kujiweka sawa kwani Vijimambo team wako mbioni kuanzisha kituo cha TV. Na ilikuweza kufanya kazi kwa ufanisi na ubora Course ni muhimu pale muda unavyoruhusu.
Hapa ni Katibu wa NYCT Deo Mhella akiwa na Ebra ndani ya studio hizo za Manhattan Neighborhood Network, Deo alimtembelea Ebra na kujionea kinachoendelea ndani ya studio.
NY akiwa nyuma ya camera ndani ya studio hizo

2 comments:

Anonymous said...

ebwana eeeh hivi ndo inavyotakiwa big up ebra ny na mhelaa afadhali ccm manafanya ya maana siku hizi. big up my men. tunasubiri hiyo tv ya vijimambo na tuna miss sana kijiwe cha ughaibuni mwambiyeni dj luke

Anonymous said...


Ibra na Katibu Deo Mhella :Hiyo ni shule ya TV ni safi kabisa kuwafahamisha na kuelimisha jumuia ya Watanzania huku na kule Nyumbani.