Advertisements

Tuesday, October 28, 2014

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE RASMI YA SIKU MBILI VIETNAM

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge
wa Tumbe Mhe Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi leo Oktoba 28,
2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyejiwake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam leo Oktoba 28, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyejiwake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam leo Oktoba 28, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wenyeji wake katikauwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam leo Oktoba 28, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi leo Oktoba 28, 2014
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete lies a wreath atthe Mausoleum of the First President Ho Chi Minh in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete lies a wreath atthe Mausoleum of the First President Ho Chi Minh in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete visits the Hung Fen Food StuffCorporation at Trung Son in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in a souvenir photo withworkers of the Garment 10 Corporation textile mill he visited at Nguyen Van Linh Street in Sai Dong Ward, Gia Lam District, Hanoi on
his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete shown some historical items ashe visits the Garment 10 Corporation textile mill at Nguyen Van Linh Street in Sai Dong Ward, Gia Lam District, Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam today October 28, 2014
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete visits the Garment 10 Corporation textile mill at Nguyen Van Linh Street in Sai Dong Ward, Gia Lam District, Hanoi on his last leg of his two-day official visit
to Vietnam today October 28, 2014

1 comment:

Anonymous said...

dj luka na vijimambo team nakulizeni kama hamtaki mtu/watu waweke comment kwanini msizibe sehemu za kuweka comment.kuweni wastaarabu tumeshakushtukiziyeni long time huu mtandao ni wa magamba kama ulivyo michuzu blog.