ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 9, 2014

RAIS UHURU KENYATTA AWASILI NCHINI KENYA AKITOKEA MAHAKAMA YA ICC

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kushoto) akilakiwa na Makamau wa Rais, William Ruto alipowasili JKIA leo alfajiri akitokea The Hague.
Rais Uhuru Kenyatta pamoja na Mkewe wakisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa waliofika kuwapokea mara tu alipowasili toka kwenye mahama ya ICC na yeye kuwa kiongozi wa kwanza akiwa madarakani kushitakiwa na mahakama hiyo.
Rais Uhuru Kenyatta na mkwewe wakisalimiana na viongozi mbalimbali
Rais Uhuru Kenyatta na mkewe wakiendelea kusalimiana na viongozi wa Kitaifa.
Rais Kenyatta akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea leo alfajiri.

No comments: