Ugomvi wa Mipaka ya Viwanja vya Kujenga Nyumba unapofikia hali hii kuna hatari hata ya kukatana mapanga ,
Kinachoonekana Hapo kwenye hiyo Nyumba ni kukosa maridhiano kati ya majirani hao wawili , Huyu mwenye nyumba inaonekana alijenga nyumba yake na kuingia kidogo katika kiwanja cha mwingine ambae nae baada ya kukuta hivyo akajenga ukuta kwenye mpaka wake ambao ukuta umeingia mpaka kibarazani kwa Jirani…..
1 comment:
hapa busara haikutumika kwa wote hii ardhi ni mali ya mungu sote tunapita na kuiacha tu kwa nini wasikae chini kwa pamoja tu wakakubaliana especialy huyu aliyejenga na kuingia kidogo kwenye kiwanja cha mwemzie ajinyenyekeza na kumuomba jirani yake, kwa heshima na nidhamu manake tayari ameshakosea ili wakubaliane hapa ni lugha yenye ladha munyu ilikosekana muafaka ungepatikana
Post a Comment