Ungekomaa huku USA tu, Bongo umejipoteza. Flow yako kwa kiswahili haina ladha hata kidogo, na vile Bongo haisupport hiphop umekwisha. Hapo Bongo kuna watu hatari kama Fid Q, Young Killer, Mwana Fa, Prof J lakini hawafagiliwi kiivyo wao kila siku ngoma za wakata viuno tu Diamond, Ali Kiba basi. Ushauri wa bure, rudi huku tafuta connection unaweza kutoka kwa sababu flow yako kwa kiingereza ina ladha kuliko kiswahili.
Ungekomaa huku USA tu, Bongo umejipoteza. Flow yako kwa kiswahili haina ladha hata kidogo, na vile Bongo haisupport hiphop umekwisha.
ReplyDeleteHapo Bongo kuna watu hatari kama Fid Q, Young Killer, Mwana Fa, Prof J lakini hawafagiliwi kiivyo wao kila siku ngoma za wakata viuno tu Diamond, Ali Kiba basi.
Ushauri wa bure, rudi huku tafuta connection unaweza kutoka kwa sababu flow yako kwa kiingereza ina ladha kuliko kiswahili.