
Pius Mtalemwa mkatoliki mwana DMV akiwa katika picha ya pamoja na Pdri Honest Munishi siku ya Jumapili Oct 12, 2014 siku waumini wa katoliki kanisa la kiswahili walipofanya hafla fupi ya kumkaribisha padri huyo Baltimore, Maryland nchini Marekani. Padri Honest Munishi amechukua nafasi ya padri Evod Shao aliyehamia Tanzania.

Waumini wa Katoliki wakipata chakula katika hafla fupi ya kumkaribisha Padri Honest Munishi iliyofanyika Jumapili Oct 12, 2014 Baltimore, Maryland nchini Marekani.

Waumini wa katoliki wakiwa kwenye hafla fupi ya kumkaribisha Padri Honest Munishi aliyechukua nafasi ya padri Shao aliyehamia Tanzania.

Picha zaote na Aloyce Mbullu Mwakilishi wa Vijimambo Maryland
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi











No comments:
Post a Comment