Friday, November 7, 2014

AJALI MBAYA YATOKEA VWAWA MBOZI LEO MCHANA YAUA DEREVA WA NSSF NA MENEJA WAKE

Ajali Mbaya iliyotokea Mbozi ;eo Ijumaa Noemba 7, 2014 na dereva na meneja wa NSSF kupoteza maisha papo hapo huku dereva wa lori akibanwa na chases kwa saa tano kabla hajaokolewa
Picha kwa hisani ya 

2 comments:

  1. OK. Hakuna ubishi, hatujali maisha yetu. Kila siku salaam za rambi rambi. Je hatuwezi angalau kujali uharibifu na upotevu wa mali?

    ReplyDelete
  2. Nchi hii baada ya miaka kumi na tano itakuwa nchi ya viwete na mayatima kwa ajari za kizembe

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake