Friday, November 7, 2014

BILIONEA ALHAJ ALIKO DANGOTE ATEMBELEA KIWANDA CHAKE MTWARA, NI KILE CHA KUZALISHA SARUJI


Gari iliyombeba mfanyabiashara maarufu barani Afrika, Mwenyekiti wa kundi la makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote, likipita mbele ya majengo yatakayokuwea kiwanda cha kuzalisha sarujit nje kidogo ya mji wa Mtwara, Nov 6, 2014. Ujenzi wa kiwanda hicho unatarajiwa kukamilika Juni 2015

mfuko wa kwanza wa sementi utaanza kufyatuliwa Juni 8, 2015. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/saruji-ya-dangote-kushusha-bei#sthash.KvYcDSfE.dpuf
mfuko wa kwanza wa sementi utaanza kufyatuliwa Juni 8, 2015. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/saruji-ya-dangote-kushusha-bei#sthash.KvYcDSfE.dpuf
Alhaj Dangote akiteta jambo na kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara, Ponsiano Nyami, baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho
Alhaj Dangote, (Kulia), akipokelewa na mwakilishi mkazi wa kampuni ya Dangote hapa nchini, Esther Baruti kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara
Mainjinia wakimpatia maelezo ya maendeleoya ujenzi wa kiwanda hicho, mmiliki wake, Alhaj Aliko Dangote, (akiwa ndani ya gari)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake