Saturday, November 8, 2014

BINGWA WA POOL TABLE MARYLAND,VIRGNIA NA WASHINGTON DC. MUSSA LINGA


Mchezaji wa mchezo wa pool table. Mussa Linga akipata picha na kikombe alichokinyakua hivi karibuni baada ya kuwa bingwa wa jumla wa mchezo huo katika fainali zilizoxhezewa Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mussa Linga katika picha na mwanae.

1 comment:

  1. Hongera mkuu linga , tupo pamoja , tutaharifu siku nyingine tujekukushangilia

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake