
Mchuano wa jumapili hii kati ya Jacksonville Jaguars na Dallas Cowboys ni wa tatu kuchezwa katika huo mwaka huu.
Hodgson analalamika kuwa mchezo wa Football ya marekani unaharibu uwanja na hivyo kuna uwezekano wa kupoteza ladha halisi ya mchezo wa kabumbu…
Bodi ya FA iliweka vikwazo kwa uhusiano wa chama cha rugby na uwanja huo, hata hivyo makubaliano yao yameingia mwaka wa nane sasa na zimesalia mechi zingine tatu za mwaka wa 2015. Ikiwemo ile ya Oktoba 4 siku tano tu kabla ya mechi ya mwisho ya nyumbani ya kufuzu kati ya England na Estonia
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake