Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendajiw a IPP, Dkt. Reginald Mengi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano na maonyesho ya nishati mbadala kanda ya Afrika Mashariki, kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Oktoba 31, 2014. Wengine pichani ni Mkurugenzi Mtendajiw a Baraza la Biashara la Afrika Mashariki, Andrew Luzze
Mwanzilishi mwenza wa kampuni ya OFF. GRID ELECRTIC, Erica Mackey, akizungumzia ushiriki wa kampuni yake kwenye kongamano hilo
Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya HELVETIC GROUP (E.A) Limited, Patrick Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kongamano hilo ambalo kampuni yake inayojishughulisha na nishati mbadala ni mdau mkubwa
Baadhi ya washiriki wakipiga makofi ikiwa ni ishara ya kuvutiwa na hotuba zilizokuwa zikitolewa
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki, Andrew Luzze, akizongumza kwenye ufunguzi wa kongamano hilo ambalo limekutanisha wadau wa sekta hiyo kutoka mataifa ya Afrika Mashariki na Ulaya
Ngowi (Kulia) na Erica, wakitoka wakati wa mapumziko ya chai
Baadhi ya washiriki wakifuatilia kongamano
No comments:
Post a Comment