Katika ziara hiyo Ndugu Liberatus Mwang'ombe aliweza kufanya mkutano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa na mratibu wa mambo ya wabunge wa CHADEMA, Ndugu John Mrema.
Ndg. Liberatus Mwang'ombe alipata fursa ya kujadiliana mambo mbalimbali na Katibu mkuu wa CHADEMA Taifa Dr Wilbroad Slaa hosusani changamoto zinazo wakabili Watanzania kwa ujumla na mbinu za kukabiliana nazo.
Zaidi walijadili namna ya kutatua changamoto hizo na kuhakikisha Tanzania inakuwa ya Watanzania na sio watu wachache.
2 comments:
kafurahi huyooooooooooo hadi jino la xmas
KAMA OFISI YENYEWE YA CHADEMA IKO HIVI,ITABIDI WATUMIE NGUVU NYINGI SANA KUINGIA IKULU DUH!KAZI KWELI KWELI
Post a Comment