ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 10, 2014

KIMENUKA INSTAGRAM LEO, TEAM WEMA WACHARUKA, WAMWEKA MTU KATI DIAMOND BAADA YA TETESI ZA KUTOKA NA ZARI THE LADY BOSS

Kinara wa Team Wema Dougiemasta15 huku instagram amefunguka haya kuhusu Diamond: kiroho safi kaka shemej wala hatugombani..ujue dai ss sote ni waafrica ndio wepesi kuja na conclusion na tunaudhaifu wa kuchunguza ujue shemej wengi tunataman kuamin kuwa hii ni project na surely we will b so proud ila shemej kinamna flan ww huaminiki huwa unakuwa na project nying sana lkn zinaend up kuwa coming soon...

mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny pia ilikuwa project mwisho wasiku ukamprojectisha, wema nae movie matokeo yake mpaka leo producer sion location mmh kwa style hii kwel shemej kukuamin inakuwa ngumu sana cz hiz coming soon afu zinaend up kuwa coming forever zinatuchosha..

.inshu ya zari mbona kama umetuchakachua kaka shemej kwanz mlituambia mmekutana kweny
ndege which its okey mkakaa siti moja means waliwaandalia siti zenu nyie watu mkijua mtapanda ndege moja still fea labda ndege ilikuwa empty so uka move..then katika kupoteza muda labda ndo mkaona mfanye something together still okey haya mkarud bongo muanze project kama project

shemej ww unaimba zari designer na pia nimeskia anaimba not sure ss shemej hizi picha mala upo nyuma ya zari mmekumbatiana mala unamkiss shingoni ndio project yenyewe ss MLIENDA STUDIO LINI NA MKAREKODI LINI NA NYIMBO MLIANDIKA LINI MPAKA FASTA MUANZE KUSHOT VIDEO NA HIYO VIDEO HAINA DIRECTOR n mm ckuwahi kuambiwa kama sintah ni mtengeneza video mmmh

shemej so you know zari ni mtu mzima ana watoto ana ameachwa na mumewe ana history ya kupenda ndogo ndogo na kuwaaribia maisha...if you lov ur career stick to it ila ukisema ufanye vitu kumkomoa mtu end of time ss ni mashabiki kama tunaweza kukupandisha naiman hata kukushusha tunawez sio kwa ubaya lkn ila his fake promises zako za something big is coming plz ur a business man try to keep ur promic......nitaendelea

4 comments:

Anonymous said...

I don't get it. What is she talking about?

Anonymous said...

Kwa kifupi ujio a DIAMOND DMV kwenye sherehe za uhuru hatumtaki kama mnafanya naye biasahara tunawaombeni muwekeni pembeni mtuletee msanii mwingine wako wengi saaana Tanzania. Mheshimiwa Balozi tunakuomba ufute hii ziara yale na tuletewe mwingine sivyo DJ Luke aongoze hiyo dhifa na muziki. Tusifanye mchezo na uwajibikaji jamani waTanzania. !!Tiketi nilishakata lakini!!!
DJ iweke lazima tuwe wawazi na ukweli uwepo..

Anonymous said...

What's going on....I didn't understand anything...

Anonymous said...

umetupilia kwa mbali comment yangu siyo okay hainao noma.tunajua unakula kwake diamond na wema sepetu. sema tunampa ushauri wa bure wema na time yake .mwamamme akikutaka atakuowa tu asipokutaka atakuchezea na kukufanya taka taka. miaka miwili na kuendelea na kama hujaolea bado ni dalilli ya kupigwa dana dana.

sasa na hii pia ichimbiye.