Thursday, November 6, 2014

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA DAR

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)

1 comment:

  1. uraiya wake hebu uchekini.inasemekana hana wakuzaliwa ila wa kununua.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake