ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 6, 2014

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA DAR

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)

1 comment:

Anonymous said...

uraiya wake hebu uchekini.inasemekana hana wakuzaliwa ila wa kununua.