ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 21, 2014

Lady Jaydee New Single & Video Premier on Monday 24th, Nov 2014

launch Ad
Lady Jaydee anatarajia ku-release single mpya aliyomshirikisha Dabo inayoitwa “Forever’ hapo Jumatatu tarehe 24 Novemba. Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official launch day pale M.O.G bar & Restaurant ambapo video ya wimbo huu ita premier for the first time. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.

Follow them on Instragram: @jidejaydee @dabomtanzania

Follow them on Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania

No comments: