Advertisements

Monday, November 10, 2014

MABONDIA IBRAHIMU TAMBA NA JULIUS KISARAWE WANYAKUWA MIKANDA YA TPBO

Bondia Mrisho Adam kushoto akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo 
Bondia Mrisho Adam kulia akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo 
Mabondia Karim Ramadhani Kushoto akipambana na Stevin Kobelo wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mchazo huo ulimalizika kwa droo
Bondia Hassani Kiwale kushoto akipambana na Julius Kisarawe wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa wa chama cha TPBO Kisarawe aluishinda kwa point mpambano huo
Bondia Maisha Samson kushoto akipambana na Ibrahimu Tamba wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wili iliyopita Tamba alishinda kwa K,O ya raundi ya Pili na kunyakuwa ubingwa 
Refarii Sako Mtlya akimnyoosha mkono juu bondia Ibrahimu Tamba baada ya kumgalagaza Maisha Samsoni kwa K,O ya raundi ya pili katika mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BLOG

No comments: