Advertisements

Wednesday, November 19, 2014

MRISHO NGASSA NA LADHIA WAMEREMETA JIJINI DAR


Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo.
MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa  amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.


...Wawili hao wakiwa wamekumbatiana baada ya harusi.

No comments: