kuradhi kwa picha hii hivi ndivyo wasamalia wema waliowenza kumpoa mtoto huyo kwenye shimo la choo.
Mama huyo alietambulika kwa jina la Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni kuficha ukweli kwa mume wake aliekua safarini kuwa amezaa.
Aidha mwanamke huyo kwani amekuwa na tabia yake ya kuwa na mwanaume wengine pindi mumewe akiwa hayupo na alinasa. ili kujinasua akaamua kudumbukiza mtoto chooni na yeye abaki kuwa mwanamke wema mbele ya macho ya mumewe.
Mtoto huyo alidumbukizwa chooni jioni usiku wa tarehe 4,11.2014 na kuokolewa asubuhi yake tarehe 05/11/2014 baada ya majirani kusikia sauti za kilio cha mtoto mchanga. Mtoto huyo yuko hospitalin kwa sasa huku mama yake akishikiliwa na polisi mwa mahojiano zaidi.- Mohab Matukio
5 comments:
Jamani ningependa kupata contact za mtoto huyu ningependa kumu adopt. Naomba mtoe contact za kuwasiliana na wahusuka wa mtoto huyu.
Ninahitaji huyo mtoto, nitampataje.
How can I get hold of this baby..inasikitisha sana watu wanavyo tupo watoto wakati wengine wanatafuta...plz naomba inf zake
Tunaomba mawasiliano ya huyo mtoto
Sasa si mtoe contact zenu japo email address basi kama kweli mko serious and genuine kutaka ku adopt huyo mtoto jama. Au mnataka kucheza na emotions za watu?
Post a Comment