Sunday, November 2, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE MASHALI, KAONEKA WASHINDA KWA K,O

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhan Alfani wakati wa mpambano wao Kaoneka alishinda kwa K,O ya Raundi ya kwanza 
Shabani Kaoneka akinuliwa kuwa mshindi
Bondia Fred Sayuni kushoto akipambana na Mbayo Ilunga wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Sayuni alishinda kwa K,O raundi ya pili
Bondia Henry Wandela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Thomas Mashali wakati wa mpambano wao Mashali alishinda kwa K,O ya raundi ya pili Picha na SUPER D BLOG

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake