Advertisements

Thursday, November 27, 2014

Picha za baby shower ya Jacque na Andrew iliyofanyika College Park Maryland (USA) siku ya November 22, 2014.



Mapambo yalifanywa na Marbela Events and Decor katika shughuli ya baby shower ya Jacque na Andrew iliyofanyika siku ya Jumamosi iliyopita ya tarehe 22, Novemba pale College Park, Maryland (USA)
Jacque na Andrew wakipata u kodak moment kabla ya kuingia ukumbini kwenye baby shower yao iliyoandaliwa na wanafamilia na marafiki zao
 Jacque na Andrew wakilishana keki kwenye baby shower yao iliyoandaliwa na wanafamilia na marafiki zao 
Ukodak moment zaidi kwenye baby shower ya Jacque na Andrew 

Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo hapa

No comments: