ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 19, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI ARUSHA TANZANIA

 Ben Kazora kushoto kutoka Dallas hadi Arusha Tanzania akiwa na mwenyeji wake Christian Sarikie kulia wakipata ukodak wa pamoja Arusha.
 Ny Ebra akiwa ndani ya Classic Salon Arusha akipata huduma ndana ya salon hiyo hapa Ebra akitoa maelezo ya nini anataka kufanyiwa kutoka kwa kinyozi maarufu ndani ya jiji la Arusha anaejulikana kwa jina la bwana Ngwasuma.
Ni huduma ndani ya salon ya Classic Arusha
Ebra akipata ukodak akiwa Arusha nyuma yake unaweza kuona mlima Meru unaoupamba jiji la Arusha.

No comments: