ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 6, 2014

POLISI WAKAMATA KONYAGI FEKI VINGUNGUTI KARIBU NA MCHICHA

Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi
Baadhi ya watuhumiwa wa Konyagi feki wakifanya kazi ya kupakia kwenye mabox konyagi hizo ambapo walikamatwa na jeshi la polisi na kufikishwa kituo cha polisi buguruni kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya watumiwa wakiwa chini ya ulinzi ambapo jana waliswekwa lumande na kulala ndani ya kituo cha polisi buguruni baada ya kukamatwa wakipack konyagi feki maeneo ya vingunguti Dar es salaam jana
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
MMOJA YA WATUHUMIWA AMBAYE ALIJITAMBULISHA KUWA YEYE NI MMILIKI WA KONYAGI FEKI AKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA KUKAMATWA JANA
Baadhi ya watumiwa waliokutwa katika godwon lenye konyagi feki wakiendelea na kazi ya kupakia katika mabox watumiwa hawo walikamatwa na kulala lumande katika kituo cha polisi buguruni Dar es salaam jana kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya maofisa usalama wakiangalia mzigo uliokamatwa ukipandishwa katika gari kwa ajili ya kuelekea kituo cha polisi buguruni
Baadhi ya maofisa usalama wakiangalia mzigo uliokamatwa wa konyagi feki ukipandishwa katika gari kwa ajili ya kuelekea kituo cha polisi buguruni Dar es salaam jana
Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi

1 comment:

Anonymous said...

Tatizo liko pale pale!! Askari wapo na watuhumiwa wamekamatwa na mzigo umekamatwa sasa kuna sababu ya uchunguzi au ndio kusubiri kupewa fedha na kuharibu ushahidi hii inatakaiwa picha zote ziwekwe na kupelekwa kwenye mahakama inayoshughulikia kesi. Angalia polisi wamekaa na watuhumiw kama wako kwenye mazungumzo ya kupanga kazi ya kijiji!! hii ni nini? Na hakuanza kuuza leo ziko mitaani na mabaa kibao nchi nzima anatakiw kulipa kodi ya miaka miwili na kufungiwa biashara. Tuacheni uzembe. Mwigilu uko wapi??