Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala Bora
Kapt.George Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za
Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Sehemu ya wadau wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia naKupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Sehemu ya wadau toka nchi mbalimbali barani Afrika wameshiriki Mkutanowa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa
nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo
ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya
Malaika jijini Mwanza.
Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya waManispaa ya Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka
Konisaga na Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa
umakini yanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za
Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum
Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikweteakimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na
Kupambana na Rushwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikweteakihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Kusanyiko la Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia naKupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
PICHA NA IKULU

1 comment:
Kama kweli mahodari wakupambana na rushwa kwanini msizuiye na kupambana na rushwa hapa nyumbani na kwanini mmechakachua katiba na sasa kumtumia watu kumpiga warioba.
watanzania wameshaamka kuhongo vitenge na vijisenti time imeshapita kwa dar hamna lakuwaambia labda vijijini.
Post a Comment