Designer wa nguo (PSW) Peter Walden na mkewe Frida Walden wakiwa wenye nyuso za furaha wakati kusheherekea Birthday yake nyumbani kwake huko Bowie Md Jumamosi Novemba mosi,2014.
Birthday boy akiwa na mama yake.
Cake ya Birthday iliyowekwa nembo ya nguo za Peter (Perfect Gentleman by PSW).
Justus na mkewe.
Bw,Adoko, Sharon na mkewe Jackie Adoko.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi





No comments:
Post a Comment