ANGALIA LIVE NEWS
Wednesday, November 5, 2014
Taarifa ya msiba Tanzania na Massachusetts
Familia ya Stambuli inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Idrissa Stambuli (32) kilichotokea Jumatatu tarehe 03/11/2014 huko Tanzania. Mazishi yatafanyika Jumatano tarehe 5/11/2014 baada ya salatul dhuhri huko Mbagala, Dar es salaam, Tanzania.
Kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani 17 Walsh Street, Springfield, Massachusetts 01109.
Tutafanya kisomo cha kumuombea marehemu Jumamosi Novemba 8, 2014 kuanzia saa kumi jioni (4pm) mpaka saa Tatu usiku (9pm) katika Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Massachusetts 01118
Kama ilivyo desturi yetu unaweza kutoa mkono wa pole kwa wafiwa kwa mama mzazi wa marehemu 413 783 3069 Dada wa marehemu Zaidani Stambuli na mumewe Wally Masesa 413 272 5036
Kwa taarifa zaidi wasiliana na
Baraka Baraka 413 285 4544
Maria Sombe 413 364 8146
Hidaya Masesa 413 737 7186
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment