Advertisements

Thursday, November 27, 2014

WADAU DMV WASHEREHEKEA THANKSGIVING KWA KUMJULIA HALI ERIC BAHUNDE

Wadau DMV kutoka kushoto ni Louis Mushi, Yasin Randi katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Said Mwamende wakiwa nyumbani wa Eric Bahunde walipotumia muda wao na sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Thanksgiving ambayo leo ni mapumziko nchini Marekani kwa kumtembelea na kumjulia hali Eric ambaye pia ni rafiki wa karibu wa Said Mwamende.
Yasin Randi katika picha ya pamoja na Eric Bahunde
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Saidi Mwamende wakiwa na Eric Bahunde wakipata chakula siku ya leo katika kusherehekea Thanksgiving.

1 comment:

Anonymous said...

yassin Randi cheke bwana ukipigwa picha na waambiyie washikaji wakikpiga picha wakuonyeshee picha yako ulivyotoka, hapa hujatoka fresh at all.

turkey yupo wapi jamanii mbona simuoni.


pole sana eric and happy thanks giving day na washikaji mmefanya laamaana sana kwenda kusherehekea na eric.poa sana